4. Pazia Ambalo Lilipasuliwa (Mathayo 27:50-53) Podcast By  cover art

4. Pazia Ambalo Lilipasuliwa (Mathayo 27:50-53)

4. Pazia Ambalo Lilipasuliwa (Mathayo 27:50-53)

Listen for free

View show details

About this listen

Patakatifu pa Patakatifu palikuwa ni mahali ambapo Mungu aliishi. Na ni Kuhani Mkuu tu ndiye aliyeruhusiwa kuingia hapo mara moja kwa mwaka, katika ile Siku ya Upatanisho hali akiwa amebeba damu ya mbuzi wa sadaka ya kuteketezwa kwa ajili ya ondoleo la dhambi la waisraeli. Kuhani Mkuu alifanya hivyo kwa sababu Patakatifu pa Patakatifu katika Hema Takatifu la Kukutania palikuwa ni mahali patakatifu sana ambao hakuweza kuingia mpaka awe na damu ya mwanasadaka, ambaye kwa huyo mikono iliwekwa juu ya kichwa chake ili kuyatoweshea mbali maovu ya wenye dhambi. Kwa msemo tofauti, hata Kuhani Mkuu hakuweza kuikwepa adhabu ya Mungu hadi baada ya kuwa amepokea ondoleo la dhambi zake kwa kutoa sadaka ya kuteketezwa kabla ya kuingia katika uwepo wa Mungu.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

No reviews yet