4. Sababu Iliyomfanya Mungu Amuite Musa Kwenda Katika Mlima Sinai (Kutoka 19:1-6) Podcast By  cover art

4. Sababu Iliyomfanya Mungu Amuite Musa Kwenda Katika Mlima Sinai (Kutoka 19:1-6)

4. Sababu Iliyomfanya Mungu Amuite Musa Kwenda Katika Mlima Sinai (Kutoka 19:1-6)

Listen for free

View show details

About this listen

Kifungu kikuu cha maandiko kinatoka katika Kutoka 19:1-6. Japokuwa kifungu hiki cha maandiko si kirefu, nina mambo mengi ya kuzungumza kuhusu kifungu hiki. Kutoka katika kifungu hiki, nitapenda pia kuzungumzia juu ya ukweli uliofunuliwa katika sura ya 19 na ile ya 25 katika kitabu cha Kutoka. Ilikuwa imeshapita miezi mitatu tangu watu wa Israeli walipotoroka kutoka Misri na kufika katika jangwa la Sinai. Mungu aliwafanya waweke kambi zao mbele ya Mlima Sinai, na kisha akamwita Musa kwenda juu mlimani.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

No reviews yet