• 5. Jinsi Ambavyo Waisraeli Walianza Kutoa Sadaka Katika Hema Takatifu la Kukutania: Msingi wa Kihistoria (Mwanzo 15:1-21)

  • Jan 14 2023
  • Length: 20 mins
  • Podcast

5. Jinsi Ambavyo Waisraeli Walianza Kutoa Sadaka Katika Hema Takatifu la Kukutania: Msingi wa Kihistoria (Mwanzo 15:1-21)

  • Summary

  • Ninaiheshimu na kuitamani sana imani ya Ibrahimu kama inavyoonyeshwa katika Biblia. Tunapoiangalia imani ya Ibrahimu, tunaweza kuona mateso na juhudi ya imani yake ambayo kwa hiyo alimfuata Yehova, na kwa jinsi hiyo hatuwezi kufanya lolote bali ni kuitamani imani ya Ibrahimu. Mungu alimbariki sana Ibrahimu, kama inavyoonyeshwa katika Mwanzo 12:3, ambapo Mungu alisema, “Nitawabariki wote watakaokubariki, Na nitamlaani yeyote atakayekulaani; na katika wewe jamaa wote wa dunia watabarikiwa.” Baraka hizi nyingi zinaonekana pia katika Mwanzo 15:1, ambapo Mungu alitamka kwa Ibrahimu kuwa “Mimi ni ngao yako, na thawabu yako kubwa sana”. Mungu alikuwa na upendo maalum kwa Ibrahimu kiasi kwamba Mungu alijiona kuwa ni Mungu wa Ibrahimu.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    Show more Show less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about 5. Jinsi Ambavyo Waisraeli Walianza Kutoa Sadaka Katika Hema Takatifu la Kukutania: Msingi wa Kihistoria (Mwanzo 15:1-21)

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.