5. Maana ya Kiroho ya Vikuku vya Fedha Vilivyotumika Katika Hema Takatifu la Kukutania (Kutoka 26:15-30) Podcast By  cover art

5. Maana ya Kiroho ya Vikuku vya Fedha Vilivyotumika Katika Hema Takatifu la Kukutania (Kutoka 26:15-30)

5. Maana ya Kiroho ya Vikuku vya Fedha Vilivyotumika Katika Hema Takatifu la Kukutania (Kutoka 26:15-30)

Listen for free

View show details

About this listen

Mbao zote za Hema Takatifu la Kukutania mahali ambapo Mungu alikaa zilikuwa zimefunikwa kwa dhahabu. Mungu alimwambia Musa kutengeneza vikuku vya fedha ili kuushikiza ubao uweze uweze kusimama wima. Maana ya kiroho ya kuweka hivi vikuku vya fedha chini ya kila ubao ni kama ifuatayo. Katika Biblia, dhahabu ina maanisha ni imani ambayo haiwezi kubadilika kutokana na wakati. Kule kusema kwamba hivi vikuku vya kushikiza viliwekwa dhini ya ubato uliokuwa umefunikwa kwa dhahabu maana yake ni kwamba Mungu ametupatia karama mbili ambazo zinatuhakikishia wokovu wetu. Kwa maneno mengine, ina maanisha kwamba Yesu ameukamilisha wokovu wetu toka katika dhambi kwa kubatizwa na kuimwaga damu yake.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

No reviews yet