6. Lazima Tule Mkate Kutoka Mbinguni kwa Imani Katika Injili ya Maji na Roho (Yohana 6:28-58) Podcast By  cover art

6. Lazima Tule Mkate Kutoka Mbinguni kwa Imani Katika Injili ya Maji na Roho (Yohana 6:28-58)

6. Lazima Tule Mkate Kutoka Mbinguni kwa Imani Katika Injili ya Maji na Roho (Yohana 6:28-58)

Listen for free

View show details

About this listen

Wakati Bwana wetu alipokuwa duniani, watu wa Israeli walikuwa masikini sana na hawakuwa na chakula cha kutosha kujilisha, kwani walinyonywa na Dola la Rumi kama koloni. Bwana wetu alikutana na wagonjwa na akawaponya, na akafanya muujiza wa mikate mitano na samaki wawili kwa maskini kuwalisha kwa chakula cha mwili. Kuona watu wa Israeli, Bwana wetu aliwaonea huruma. Aliwahurumia kwa sababu aliwaona kama kondoo waliopotea, kundi bila mchungaji. Wakati watu wa Israeli walimfuata Yesu njia yote kuelekea nyikani, Yesu aliwaonea huruma, kwani hata kama wanahitaji kulishwa, kwani walikuwa na nyama, hawakuwa na chakula.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

No reviews yet