8. Maana za Kiroho Zilizofichika Katika Mavazi ya Kuhani Mkuu (Kutoka 28:1-43) Podcast By  cover art

8. Maana za Kiroho Zilizofichika Katika Mavazi ya Kuhani Mkuu (Kutoka 28:1-43)

8. Maana za Kiroho Zilizofichika Katika Mavazi ya Kuhani Mkuu (Kutoka 28:1-43)

Listen for free

View show details

About this listen

Leo tutakwenda kuangalia juu ya maana za kiroho zilizofichika katika mavazi ya Kuhani Mkuu. Haruni alipaswa kuyavaa mavazi haya pamoja na watoto wake. Kwa kupitia mavazi haya ya Kuhani Mkuu tutaweza kutambua kwa imani juu ya mpango wa Mungu ambao umetuokoa toka katika dhambi.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

No reviews yet