Fahamu jinsi Mama Maria alivyo shauri zuri la wanadamu Podcast By  cover art

Fahamu jinsi Mama Maria alivyo shauri zuri la wanadamu

Fahamu jinsi Mama Maria alivyo shauri zuri la wanadamu

Listen for free

View show details

About this listen

Karibu katika kipindi cha Tumsifu Mama Maria, Mwezeshaji ni Padre Fabian Ngeleja, Paroko wa Parokia za Nyamanoro na Tarazo Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, anaendelea kufundisha juu ya uzuri wa Mama Maria, akiangazia uzuri namba tatu unaosema Bikira Mama shauri zuri la wanadamu. Mtangazaji wako ni Esther Magai Hangu

L'articolo Fahamu jinsi Mama Maria alivyo shauri zuri la wanadamu proviene da Radio Maria.

No reviews yet