Kwanini Papa huitwa Baba Mtakatifu angali yu hai? Podcast By  cover art

Kwanini Papa huitwa Baba Mtakatifu angali yu hai?

Kwanini Papa huitwa Baba Mtakatifu angali yu hai?

Listen for free

View show details

About this listen

Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino, Peramiho Jimbo Kuu Katoliki Songea, Frateri Likana Nyagabona ndiye anayetuunganisha na Mafrateri wenzake kutolea ufafanuzi kwa maswali yaliyoulizwa na msikilizaji, moja ya maswali hayo ni kwanini Papa huitwa Baba Mtakatifu angali yu hai? Mimi ni Esther Magai Hangu, ninakualika kwa niaba ya […]

L'articolo Kwanini Papa huitwa Baba Mtakatifu angali yu hai? proviene da Radio Maria.

No reviews yet