SURA YA 1-2. Haki ya Mungu iliyo dhihirishwa katika Injili (Warumi 1:16-17) Podcast By  cover art

SURA YA 1-2. Haki ya Mungu iliyo dhihirishwa katika Injili (Warumi 1:16-17)

SURA YA 1-2. Haki ya Mungu iliyo dhihirishwa katika Injili (Warumi 1:16-17)

Listen for free

View show details

About this listen

Paulo Mtume hakuionea haya Injili ya Kristo. Alitamka juu ya Injili. Hata hivyo, moja ya sababu ambayo watu wengi hulia ingawa wanamwamini Yesu ni kwa sababu ya dhambi. Pia ni kutokana na upumbavu wao katika kushindwa kuikubali haki ya Mungu. Tutaweza kuokolewa kwa kuamini haki ya Mungu na kuachana na haki zetu binafsi.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

No reviews yet