SURA YA 1-5. Waipingao kweli kwa uovu (Warumi 1:18-25) Podcast By  cover art

SURA YA 1-5. Waipingao kweli kwa uovu (Warumi 1:18-25)

SURA YA 1-5. Waipingao kweli kwa uovu (Warumi 1:18-25)

Listen for free

View show details

About this listen

Tunaweza kuona kwamba Paulo Mtume alihubiri Injili ile ile ambayo nasi leo tunaihubiri. Je, ni kwa nini ghadhabu ya Mungu imedhihirishwa? Hukumu ya Mungu imedhihirishwa kwa waasi wote waipingao kweli kwa uovu, ikimaanisha kwa wale wote wenye dhambi na kuzuia ukweli kwa mawazo yao.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

No reviews yet