SURA YA 11-2. Wokovu wa Watu wa Israeli Podcast By  cover art

SURA YA 11-2. Wokovu wa Watu wa Israeli

SURA YA 11-2. Wokovu wa Watu wa Israeli

Listen for free

View show details

About this listen

Kwa nini Mungu aliwatuma manabii wawili kwenda kwa watu wa Israeli? Mungu alifanya hivyo ili hasahasa kuwaokoa watu wa Israeli. Kifungu kikuu kinatueleza kwamba Mungu atawafanya mashahidi wake wawili kutabiri kwa siku 1,260. Hii inalenga kuwaokoa Waisraeli kwa mara ya mwisho. Kule kusema kwamba Mungu atawaokoa watu wa Israeli kuna maanisha pia kwamba wakati huo mwisho wa dunia utakuwa umefika.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

No reviews yet