SURA YA 5-4. Matakwa ya Roho Mtakatifu na yale ya Mwilini (Wagalatia 5:13-26) Podcast By  cover art

SURA YA 5-4. Matakwa ya Roho Mtakatifu na yale ya Mwilini (Wagalatia 5:13-26)

SURA YA 5-4. Matakwa ya Roho Mtakatifu na yale ya Mwilini (Wagalatia 5:13-26)

Listen for free

View show details

About this listen

Katika aya na maandiko ya leo, Mtume Paulo alisema, Tembea kwa Roho. Je! Inamaanisha nini kwetu kuzaliwa mara ya pili kwa kufuata matakwa ya Roho mbele za Mungu? Ni kuishi aina ya maisha yanayompendeza Mungu kama, kuhubiri injili ya maji na Roho kwa roho zingine ili waweze pia kupokea ondoleo la dhambi zao.Kinacholeta matakwa ya Roho ndani yetu na kutufanya tuishi kulingana na shauku hii ni imani yenyewe iliyowekwa katika injili ya maji na Roho.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

No reviews yet