UTANGULIZI Podcast By  cover art

UTANGULIZI

UTANGULIZI

Listen for free

View show details

About this listen

Podcast hii imelenga kukupatia maarifa, elimu na taarifa za msingi, ambazo zitamuwezesha mkulima au mtu anaetaka kuingia katika kilimo na ufugaji kuweza kufanya kilimo biashara. Podscast hii imetengenezwa kwa kukusanya maoni na uzoefu kutoka kwa wakulima waliofanikiwa, wataalamu mbalimbali na wadau wengine kuweza kuhakikisha tunakuletea kilichobora zaidi.
Wasiliana nasi kwa msaada, elimu au usaidizi zaidi +255764 148 221
KAMA UMEJIFUNZA UNAWEZA KUSAPPORT KAZI YETU
M-PESA +255764 148 221 IMANI LUBABA EMMANUEL
CRDB BANK 0152451464600 IMANI LUBABA EMMANUEL
TAJIRIKA KUPITIA KILIMO NA UFUGAJI

adbl_web_global_use_to_activate_T1_webcro805_stickypopup
No reviews yet